spanish

Haya Basi

Haya Basi Lyrics By On Stevo Simple Boy 2022. Best Song Haya Basi Lyrics in Hindi & English Originally Released on YouTube. Haya Basi Song Sung By Popular Singer Stevo Simple Boy, Music Composed By Stevo Simple Boy, and Lyrics Of This Song Are Written By Stevo Simple Boy. Haya Basi Full Song Lyrics By Stevo Simple Boy. We Offer Amazing Songs Lyrics Only on WoLyrics.com

Haya Basi Song Stevo Simple Boy Details

Vocal/Singer
Music Comsposer Stevo Simple Boy
Lyricist Stevo Simple Boy
YouTube video

Haya Basi Lyrics Stevo Simple Boy

Au sio
Aai buby
Stevo simple boy
Ndio maanake age

Haya basi
Muache wasi was
Haya basi wanangu tupo kaz
Haya basi
Muache wasi was
Haya basi wanangu tupo kaz

Haya basi mbona wasi wasi
Naskia simple kwenye basi
Haya basi mbona wasi wasi
Napigwa picha ata nikikunywa..maji
Naskia walisema nivute meneja
Kumbe hao hao hao ndio mateja
Wanajifanya huku nyuma wanipenda
Na kumbe hao hao
ndio wananisema
Naskia vitu vingi
Naskia ki ki ki ki
Naskia vitu vingi kule rais ni wa nini?
Naskia mambo mengi
Kwani ni machize nini?
Huku mjini tunatafutanga pesa wee…

Haya basi
Muache wasi was
Haya basi wanangu tupo kaz
Haya basi
Muache wasi was
Haya basi wanangu tupo kaz

Leo simtajii
(Naaani?)
Ooh simtajii
(Naaani?)
Eti simple kuja show
ntakulipa show baada ya show mxiuuu
Nakula matumbo wakaleta shobo
Saa hii ndio zogo
Rakaka rukuku
rakaka rakaka rukuku
Baba niombee

Naskia vitu vingi
naskia ki ki ki ki
naskia vitu vingi
Kule rais ni wa nini?
Naskia mambo mengi
Kwani ni machizi nini?
Huku mjini tunatafutanga pesa wee…

Haya basi
Muache wasi was
Haya basi wanangu tupo kazi
Haya basi
Muache wasi was
Haya basi wanangu tupo kaz

Check Also
Close
Back to top button