English

Utaonaje Lyrics RayVanny

Utaonaje Lyrics By On RayVanny 2022. Best Song Utaonaje Lyrics in Hindi & English Originally Released on YouTube. Utaonaje Song Sung By Popular Singer RayVanny, Music Composed By RayVanny, and Lyrics Of This Song Are Written By RayVanny. Utaonaje Full Song Lyrics By RayVanny. We Offer Amazing Songs Lyrics Only on WoLyrics.com

Utaonaje Song RayVanny Details

Vocal/Singer
Music Comsposer RayVanny
Lyricist RayVanny
YouTube video

Utaonaje Lyrics RayVanny

Chui, Aaah Ye,
Chupa Limeamka Na Chai Au Sio,
S2kizzy Baby !!
Vany Bwoy..

Asa Kwanini Nikublock, (Utaonaje)
Ninavyovimb..a (Utaonaje)
Yani Kwanini Nikublock, (Utaonaje)
Ninavyoringa.. (Utaonaje)

Nasema Kwanini Nikublock, (Utaonaje)
Ninavyovimba.. (Utaonaje)
Asa Kwanini Nikublock, (Utaonaje)
Ninavyoringa.. (Utaonaje)

Utaonaje, Utaonaje Utaona,
Utaonaje Utaona..
Utaonaje,
Ninavyovimba Utaonaje Utaona..

Niko Kwa Flight Nasubiri Ku Departure,
Nikikublock Utaonaje Sasa..
Maisha Pombe Na Muziki Ka Darasa,
Nikitoka Dubai Natua Mombasa..

X Wangu Amuone Demu Wangu Wa Sasa,
Jinsi Alivyotakata,
Vile Tulivyojipata,
Si Atajifia Na Kifafa..

Nikublock Nikiblock Kitu Gani,
Unataka Kuroga Nenda Karoge Pangani..
Nikublock Nikiblock Kitu Gani,
Maneno Ya Mkosaji Eti Malipo Duniani..

Kwanza Me Mwenyewe Brand,
Ninapotamba Watoto Hawatambi..
Wanaonichukia Nawazidi Hadi Dhambi,
Baba Familia Halafu Mama Nandy..

Wambie Kanibless Mungu Jah,
Nabahati Sina Gundu Njaa..
Upepo Mwanana Zanzibar,
Halafu Anaenitukana Yuko Mwinde Bar..

Asa Kwanini Nikublock, (Utaonaje)
Ninavyovimba.. (Utaonaje)
Yani Kwanini Nikublock, (Utaonaje)
Ninavyoringa.. (Utaonaje)

Trending Now → Bye Lyrics » Bilnass & Nandy | Lyrics Over A2z
Nasema Kwanini Nikublock, (Utaonaje)
Ninavyovimba.. (Utaonaje)
Asa Kwanini Nikublock, (Utaonaje)
Ninavyoringa.. (Utaonaje)

Utaonaje, Utaonaje Utaona,
Utaonaje Utaona..
Utaonaje,
Ninavyovimba Utaonaje Utaona..

Yeah !!

Najua Una Bando,
Kama Huna Sema Nikutumie..
Nataka Ni Post Majigambo,
Ili Wachawi Wote Ndo Muumie..

Wanaomba Nifeli,
Nataka Salamu Ziwafikie..
Aaah Nikovizuri Kweli Kweli,
He He Acha Dawa Tu Iwaingie..
Ooh Yaya..

Nazidi Kung’ara Ukiniombea Mikosi,
Ufukara Sina Sa Niko Kibosi..
Bata Kila Siku Sio Mpaka Jumamosi,
Najua Hujala Ila Napost Misosi..

Oya Wachawi Nishanunua Gari,
Nishanunua Nyumba Hapo Vipi,
Hapo Vipi..
Mnaoniroga Pemba Me Huku Nishajenga,
Hapo Vipi, Hapo Vipi..

Wambie Kanibless Mungu Jah,
Nabahati Sina Gundu Njaa..
Upepo Mwanana Zanzibar,
Halafu Anaenitukana Yuko Mwinde Bar..

Asa Kwanini Nikublock, (Utaonaje)
Ninavyovimba.. (Utaonaje)
Yani Kwanini Nikublock, (Utaonaje)
Ninavyoringa.. (Utaonaje)

Nasema Kwanini Nikublock, (Utaonaje)
Ninavyovimba.. (Utaonaje)
Asa Kwanini Nikublock, (Utaonaje)
Ninavyoringa.. (Utaonaje)

Utaonaje, Utaonaje Utaona,
Utaonaje Utaona..
Utaonaje,
Ninavyovimba Utaonaje Utaona..

Back to top button