English

Daraja

Daraja Lyrics By On Arrow Bwoy 2022. Arrow Bwoy's Best Song Daraja Lyrics in Hindi & English Originally Released on YouTube. Daraja Song Sung By Popular Singer Arrow Bwoy,Daraja Full Song Lyrics By Arrow Bwoy. We Offer Amazing Songs Lyrics Only on WoLyrics.com

Daraja Details

Vocal/Singer
YouTube video

Daraja Lyrics Arrow Bwoy

Intro Tututu turuturu turuturu
Dem call me Arrow Bwoy
(Vicky pon dis)VERSE 1Masaibu ya mapenzi ,unayependana naye kesho anakuchukia
Yule uliyemuenzi ,anageuka sumu kisha penzi anakuvunjia
Picha , picha zote kwa Insta anafuta
Twitter, Twitter hashtag anaweka ya matusi
Picha picha ,zote kwa kuta anashusha, kisha anakupiga block
BridgeDaraja ,daraja ya mapenzi wanaopita ni wengi
Daraja ,hii daraja ya mapenzi wanaovuka ni wachacheHookOtile na Vera walijaribu kuvuka ,wakaanguka chubwi
KRG na Nina wakajaribu kuvuka ,wakaanguka chubwi
Tanasha na Simba walijaribu kuvuka ,wakaanguka chubwi
Jamal Roho Safi na Amber Ray wakaanguka chubwi
‘Tua na Lilian walijaribu kuvuka wakaangukaAki mapenzi wewe
Aki mapenzi wewe
Aki mapenzi wewe wewe (x2)Naogopa ,mapenzi naogopa
Naogopa ,mapenzi naogopa
NaogopaVERSE 2Kitendawili ya mapenzi ,wengi wameshindwa kuitegua
Na mimi na wasiwasi nashindwa kama nitaitegua
Kitendawili ya mapenzi ,wengi wameshindwa kuitegua
Na mimi na wasiwasi ,nashindwa kama nitaitegua(gua)
(Yeah,yeah, yeah)
BridgeDaraja, daraja ya mapenzi ,wanaopita ni wengi
Daraja, hii daraja ya mapenzi ,wanaovuka ni wachacheHookMulamwah na Caro walijaribu kuvuka ,wakaanguka chubwi
Simple Boy na Vishy wakajaribu kuvuka ,wakaanguka chubwi
Frankie na Corazon wakajaribu kuvuka ,wakaanguka chubwi
Huyo Frankie na Maureen walijaribu kuvuka ,wakaanguka chubwiAki mapenzi wewe
Aki mapenzi wewe
Aki mapenzi we weweRefrainNaogopa ,mapenzi naogopa
Naogopa ,mapenzi naogopa (kupenda naogopa)
Naogopa ,mapenzi naogopa
Naogopa ,mapenzi naogopa
Naogopa

Check Also
Close
Back to top button