Swahili

Naolewa

Naolewa Lyrics By On Monia Fleur 2024. Monia Fleur's Best Song Naolewa Lyrics in Hindi & English Originally Released on YouTube. Naolewa Song Sung By Popular Singer Monia Fleur, Music Composed By Monia Fleur, and Lyrics Of This Song Are Written By Monia Fleur. Naolewa Full Song Lyrics By Monia Fleur. We Offer Amazing Songs Lyrics Only on WoLyrics.com

Naolewa Song By Monia Fleur Details

Vocal/Singer
Music Comsposer Monia Fleur
Lyricist Monia Fleur
YouTube video

Naolewa Lyrics Monia Fleur

Lyrics :

Aaaanh Aaaaah Aaaanh It’s Monia Fleur
Aaaaaah Aaaaah Aaaaaah…….

Vers 1
———————————
Uko wapi My ex? nataka nikupe Kadi, kesho ntaolewa nataka ufike, sitaki zawadi.
Niko pamoja na Hubby anakusalimia, eti kesho usikose ukule ukunywe atagharamia.

(Bridge)
Umenitupa akaniokota || Mugonjwa ye ni Docta
imesha Ng’aa Nyota Naolewa…..(×2)

Chorus
———————————-
Aaaaaahn Aaaaa Aaaaahn Naolewa
Aaaaaahn Aaaaa Aaaaahn Utaelewa
Aaaaahn Aaaaa Aaaaahn Mi Naolewa
Aaaaahn Aaaaa Aaaaahn…….

(Instrument )

Vers 2
———————————-
Kilicho Kichungu kwa Mwengine Kitamu Napendwa Kizungu Nawangu Amor Eeeeeeh

Ananipa penzi tam tam tam Ananimaliza ham ham ham
Mi ni EVA ye ADAM dam dam Hubbyyyyyy (×2)

(Bridge)
Umenitupa akaniokota || Mugonjwa ye ni Docta
imesha Ng’aa Nyota Naolewa…..(×2)

Chorus
————————————
Aaaaaahn Aaaaa Aaaaahn Naolewa,
Aaaaaahn Aaaaa Aaaaahn Utaelewa
Aaaaahn Aaaaa Aaaaahn Mi Naolewa
Aaaaahn Aaaaan Aaaahn…….

(Bridge)
Umenitupa akaniokota || Mugonjwa ye ni Docta
imesha Ng’aa Nyota Naolewa…..(×2)

(Instrument )

Check Also
Close
Back to top button