Swahili

No

No Lyrics By On Country Wizzy 2023. Best Song No Lyrics in Hindi & English Originally Released on YouTube. No Song Sung By Popular Singer Country Wizzy, Music Composed By Country Wizzy, and Lyrics Of This Song Are Written By Country Wizzy. No Full Song Lyrics By Country Wizzy. We Offer Amazing Songs Lyrics Only on WoLyrics.com

No Details

Vocal/Singer
Music Comsposer Country Wizzy
Lyricist Country Wizzy
YouTube video

No Lyrics Country Wizzy

Wanawaza lini watanishusha (oooh)
Huku baba ndio kwanza kumekucha (oooh)
Zee Bado nasimamia ukucha
Wenzako walikuja Gang Gang Na walikufa (tutututu)
Walitoka mkuku
Mana waliambulia patupu
Na pisi zao nazipelekea mtutu
Na minyesho kiduchu
Maana siku hizi mambo ipo huku
Wanalia sauti nyingi za kasuku (mmh)
Marapper wa siku hizi hawana haya
Kwa jinsi wanavyochana kimalaya
Napenda mnavonidiss ile mbaya
Tukikutana bro umetu Inspire
Sasa ya nini tubishane
Au unataka uninidiss ujulikane
Kama unataka beef one Hundred
Niko on set kwenye money
Tema shombo zako tuanikane
Na ntamkaza dada yako tuheshimiane
Mana nishawakaa kwenye koo
Its about time here we go
Kila ngoma natikisa nyavu niite samagoal
Na nina ball till i fall
Lete weed ni roll
Niggaz please bora mniache nishachafukwa na roho
I’m sorry mana hapa hampati kiki
Nawaza sijui nani ntamwachia kiti
Hata ingekua dala dala sitoi siti
Niite mchonga barabara bibi titi

Chorus

Wananidiss ili wapate fame
Eti ndo mambo ya game wanahisi ntareply i’m sorry my Brothers NO,NO (No No No) x2

Verse 2
Hold Up Wait a minute
Y’all Thought i was Finish
Heee kumbe nawakera kama nini
Dada zaao wakiniona wote chupi chini
Na nina wakaa ile kibandidu iddi amini
Oyaa chawa punguzeni speed twende slow slow
Na madanga punguzeni bei iwe low low
Mana huku mtaani tunaa haso ile ki solo
Sisi ndo wale wana ntakutumia ela tomorrow
Mana kwenye mapambano
Mimi ndio mfano
Nyimbo zao nikisiliza nawapa red sio njano
Haya nipe Tano
Tembo wooooouu harmo
Kwenye mambo ya rap natumika kama mfano
Mademu vicheche nawagushi
Hawakawii leta mimba za kizushi
Alafu wanayajua matusi
Bora tu nile zangu boujee

Chorus

Check Also
Close
Back to top button